Wakati ujao huelezea kuhusu kitu ambacho kitatokea wakati unaokuja. Wakati ujao hufanyika kwa vil au skal pamojana aina yakitendo au kwa wakati uliopo pamojana ishara ya wakati.
Jeg vil rejse til Amerika.
Nitasafirikwenda Amerika.
Jeg skal spise.
Nitakula.
Jeg rejser til Amerika i morgen.
Nitasafiri kwenda Amerika kesho.
Ulinganisho:
Kwa kiswahili wakati ujao huongezea ta- mwanzoni mwa tendo halisi. Kabla ya ta- huanzia na ni, u, n.k. kutegemeana na watu tofauti.
Nitakula. Utakula.
1 Udsagnsord
1.6 Fremtid
Fremtid fortæller om noget, der vil ske i fremtiden. Fremtid dannes enten med vil eller skal og navnemåde eller ved nutid og en tidsangivelse.