Ukurasa wa kwanza
Utangulizi Chagua lugha Maswali ya ufahamu Mazoezi Zoezi dogoMaana katika sarufi Piga chapa
Tendo Majina Badala ya jina Neno la sifa Kielezi Maneno ya uhusiano Maneno unganishi Mpangilio wa maneno
Ubainisho   Pindika   Ulinganisho   Si kawaida    

4  Sifa

4.0 Ubainisho

Sifa ni neno linaloelezea kuhusu majina.

Størrelse ukubwa
en stor bil gari kubwa
   
Farve rangi
en rød bil gari nyekundu
   
Form umbo
et firkantet hus nyumba ya pembe nne
   
kvalitet aina
en god bog kitabu kizuri

Maswali ya ufahamu

4 Tillægsord

4.0 Definition

Et tillægsord er et ord, der fortæller noget om et navneord.

størrelse
en stor bil
 
farve
en rød bil
 
form
et firkantet hus
 
kvalitet
en god bog

Forståelses-spørgsmål Øvelser