Aina ya amri ni aina fupi zaidi kuliko tendo. Aina ya amri ni sawa na aina ya kitendo bila -e.Aina hii pia huitwa tendo halisi. Aina hii ni msingi kwa nyakati nyingine kwa sababu unaweka mwisho kwenye tendo halisi.
Aina ya amri hutumika kwa njia mbili. Ama kwa maombi, au kwa amri.
Kom og spis hos os i aften.
Njoo kula kwetu jioni tafadhali.
Spis din mad!
Kula chakula chao!
Aina ya amri
Aina ya tendo
Aina ya amri
at sove
sov
at spise
spis
at lave
lav
Ulinganisho:
Kwa kiswahili aina ya amri ni sawa na aina ya kitendo kwa kuondoa ku-. Kwa kuonyesha heshima hutumika “tafadhali” mwanzoni au mwishoni mwa fungu la maneno.
1 Udsagnsord
1.2 Bydemåde
Bydemåde er den korteste form af udsagnsordet. Bydemåde er navnemåde uden -e. Denne form kaldes også grundformen. Det er denne form, som er udgangspunktet for de andre tider, da endelserne sættes til grundformen.
Bydemåden bruges på to måder. Enten som opfordring eller som ordre.