7 Maneno ya kuunga
7.0 Ubainisho
Maneno ya kuunga ni maneno ambayo huunganisha maneno, somo, na fungu la maneno.
Drengen og pigen leger sammen. |
Wavulana na wasichana wanacheza pamoja. |
Drengen leger, mens pigen ser på. |
Wavulana wanacheza wakati wasichana wanaangalia. |
Maneno ya kuunga yanagawanyika kwenye mpango wa maneno ya kuunga kwa kulingana na
mpango wa maneno ya kuunga kwa kutolingana.

|
 |
7 Bindeord
7.0 Definition
Bindeord er ord, som forbinder ord, led og sætninger.
Drengen og pigen leger sammen. |
Drengen leger, mens pigen ser på. |
Bindeord opdeles i sideordningsbindeord og underordningsbindeord.
|