Wakati uliopo huelezea kitu ambacho kinatokea sasa hivi au hutokea zaidi mara nyingi.
Jeg går nu.
Ninakwenda sasa.
Barnet sover godt.
Mtoto analala vizuri.
Wakati uliopo ni muungano wa tendo halisi ambalo huishia na ‑er katika tendo lenyewe. Kama aina ya kitendo haiishii na -e huishia na-r.
Tendo katika aina ya kitendo wakati uliopo
Namna ya tendo
Tendo halisi
Wakati uliopo
at spise
spis
spiser
at køre
kør
kører
at lave
lav
laver
at gå
gå
går
Ulinganisho:
Kwa kiswahili wakati uliopo huanza na herufi na- kwenye tendo halisi. Kabla ya na- huanzia na ni, u, n.k. ambayo huelezea ni mtu gani anayezungumziwa.
Ninakula.
Unakula.
1 Udsagnsord
1.3 Nutid
Nutid fortæller om noget, som enten sker lige nu eller flere gange.
Jeg går nu.
Barnet sover godt.
Nutid dannes af grundformen af udsagnsordet tilføjet endelsen ‑er. Hvis navnemåden ikke ender på -e er endelsen kun -r.