Ukurasa wa kwanza
Utangulizi Chagua lugha Maswali ya ufahamu Mazoezi Zoezi dogoMaana katika sarufi Piga chapa
Tendo Majina Badala ya jina Neno la sifa Kielezi Maneno ya uhusiano Maneno unganishi Mpangilio wa maneno
Ubainisho   Kwenda sawa   Kinyume   Maneno yenye maana ndogo   Sehemu ya elekezo dhahiri   Sehemu ya mafumbo   Sehemu ya neno la sifa   Sehemu ya neno elezi    

8  Mpangilio wa maneno

8.5 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu kwa fumbo

Kitu kwa  fumbo () ni kitu kwenye fungu la maneno kwa nani kitu kinafanyika. Kunakuwa na kitu kwa fumbo tu, kama kuna kitu halisi  kwenye fungu la maneno. Kitu kwa fumbo husimama baada ya somo kamili (x) na somo la taarifa  (o) na mbele ya kitu halisi (∆) kwenye fungu la maneno na mpangilio wa maneno wa moja kwa moja. Kwa kutia mkazo, kitu kwa fumbo husimama kwanza kwenye fungu la maneno na huwa ni mpangilio wa maneno kwa upinduaji.

Mpangilio wa maneno wa moja kwa moja:

Jeg giver ham en bog.   Ninampa kitabu.
x o    

Mpangilio wa maneno kwa upinduaji:

Ham giver jeg en bog.   Ni  yeye niampa kitabu.
o x      

Ulinganisho:
Wakati kuna kitu kwa fumbo kwenye fungu la maneno kwa kiswahili huongezea silabi katikati ya tendo (ang. 3.4).
Kwa kuonyesha kitu kwa fumbo ni lazima iandikwe kwa mfano:

ni yeye
ni wewe

Maswali ya ufahamu

8 Ordstilling

8.5 Ordstilling i sætninger med hensynsled

Hensynsleddet () er leddet i sætningen for hvem noget gøres. Der er kun et hensynsled, hvis der også er et genstandsled i sætningen. Hensynsleddet står efter grundleddet (x) og udsagnsleddet (o) og foran genstandsleddet (∆) i sætninger med ligefrem ordstilling. Hvis man vil fremhæve hensynsleddet, står det først i sætningen, og der bliver omvendt ordstilling.

Ligefrem ordstilling:

Pigen giver ham en bog.
x o

Omvendt ordstilling:

Ham giver pigen en bog.
o x

Forståelses-spørgsmål Øvelser Sammenligninger