8.4 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi
Kitu halisi ni jina au jina linalofanana na neno ambalo linaonyesha kitu kwenye fungu la maneno. Kitu halisi (∆) husimama baada ya somo kamili (x) na somo la taarifa (o) kwenye fungu la maneno na mpangilio wa maneno wa moja kwa moja. Kwa kutia mkazo kwenye kitu halisi huwa mwanzoni kwenye fungu la maneno, na inakuwa ni upinduaji wa mpangilio wa maneno.
Mpangilio wa maneno wa moja kwa moja:
Anna
købte
en
ny bil.
Anna
alinunua
gari mpya.
x
o
∆
x
o
∆
Mpangilio wa maneno kwa upinduaji:
En ny
bil
købte
Anna.
Anna
alinunua
gari impya.
∆
o
x
x
o
∆
Ulinganisho:
Kwa kiswahili kitu halisi huja baada ya somo kamili na somo la taarifa kama kwa kidenish, kwenye fungu la maneno lenye mpangilio wa maneno moja kwa moja.
8 Ordstilling
8.4 Ordstilling i sætninger med genstandsled
Genstandsled er et navneord eller et navneagtigt ord, der gøres noget ved i en sætning. Genstandsled (∆) står efter grundled (x) og udsagnsled (o) i sætninger med ligefrem ordstilling. Hvis man vil fremhæve genstandsleddet, står det først i sætningen, og der bliver omvendt ordstilling.