Jamaa ya badala ya jina la kumiliki hutumika badala ya hans, hendes, dens na dets, wakati wa kuzungumzia kituchake kwa mtu 3. Hapa kuna tofauti pia katika neno n- na neno t-.
neno -n: sin
neno -t: sit
wingi: sine
en kjole
Hun skal vaske sin kjole.
Ni lazima afue gauni lake.
et hus
Hun maler sit hus.
Anapiga rangi nyumba yake.
bøger
Lars har læst alle sine bøger.
Lars amesoma vitabu vyake vyote.
Ulinganisho:
Kwa kiswahili hakuna mgawanyo kati ya kitu chake kwenye mtu wa 3. umoja, na vitu vya mtu mwingine.
3 Stedord
3.3 Tilbagevisende ejestedord
Tilbagevisende ejestedord bruges i stedet for hans, hendes, dens og dets, når man omtaler ens eget i 3. person ental.