Ukurasa wa kwanza
Utangulizi Chagua lugha Maswali ya ufahamu Mazoezi Zoezi dogoMaana katika sarufi Piga chapa
Tendo Majina Badala ya jina Neno la sifa Kielezi Maneno ya uhusiano Maneno unganishi Mpangilio wa maneno
Ubainisho   Mwenyewe   Badala ya jina la kumiliki   Kuondosha   Kiunganishi katika sentensi   Kuuliza   Rejezea      

3  Badala ya jina

3.2 Badala ya jina la kumiliki

Badala ya jina la kumiliki huelezea kuhusu mtu anayemiliki kitu.

Det er Peters kone.

Ni mke wa Peter.

Det er hans kone.

Ni mke wake


Badala ya jina la kumiliki

Mtu

Umoja

Wingi

Mtu 1.

-angu

-etu

Mtu 2.

-ako

-enu

Mtu 3.

-ake

-ao

Deres na Jeres ni aina ya majina ya heshima pia. Wakati jeres na deres yanatumiwa kama aina ya majina ya heshima huandikwa kwa herufi kubwa kama I na De.

Kuna aina tatu ya min na din:

neno-n: min na din
neno-t: mit na dit
wingi:  mine na dine

en bog  
Hvor er din bog? Kitabu chako kiko wapi?
   
et hus  
Dit hus er stort. Nyumba yako ni kubwa.
   
børn  
Mine børn kommer nu. Watoto wangu wanakuja sasa.

Ulinganisho:
Kwa kiswahili badala ya jina la kumiliki hutegemeana na zile aina saba za majina na badala ya jina la kumiliki hubadilika mwishoni kwenye watu tofauti.

Maswali ya ufahamu

3 Stedord

3.2 Ejestedord

Ejestedord fortæller om ejerforhold.

Det er Peters kone.
Det er hans kone.


Ejestedord

Person

Ental

Flertal

1. person

min, mit, mine

vores

2. person

din, dit, dine

jeres

3. person

hans, hendes, dens, dets

deres

Deres og Jeres er også høflighedsformer. Når jeres og deres bruges som høflighedsformer skrives det med store forbogstaver ligesom I og De.

Min og din har tre former:

n-ord: min og din
t-ord: mit og dit
flertal: mine og dine

en bog
Hvor er din bog?
 
et hus
Dit hus er stort.
 
børn
Mine børn kommer nu.


Forståelses-spørgsmål Øvelser Sammenligninger