Majina yanakuwa pia na aina ya kumiliki. Kumiliki ina maana kwambaunamiliki kitu.
Barnets tøj er snavset.
Nguo ya mtoto ni chafu.
Kumiliki hufanyika kwa kuongezea -s wenye jina.
Aina ya majina ya kumiliki
Umoja
Wingi
Isiyodhahiri
Dhahiri
Isiyodhahiri
Dhahiri
en piges
pigens
pigers
pigernes
et værelses
værelsets
værelsers
værelsernes
Majina ya watu yana aina ya kumiliki pia.
Peters bog
Kitabu cha Peter.
Ulinganisho:
Kwa kiswahili kumiliki hufanyika kwa jina huru ambalo linasimama baada ya hicho kinachomilikiwa. Kuna aina tofauti za maneno, ambayo hutumika kama kumiliki kutegemeana na jina lenyewe linavyofanyika kwa wingi na umoja.
Kiti cha msichana.
Gari ya Peter.
Watoto wa Anna.
2 Navneord
2.6 Navneord i ejefald
Navneord har også en ejefaldsform. Ejefald betyder, at man ejer noget.
Barnets tøj er snavset.
Ejefald laves ved at sætte endelsen -s på navneordet.