Maneno ya hali huelezea ni wapi vitu vilipo au watu walipo kuhusiana na mahali. Maneno ya hali huelezea pia ni upande gani vitu au watu wanakwenda.
Pungen ligger i min taske.
Pochi iko mfukoni kwangu.
Avisen ligger på bordet.
Gazet liko mezani.
Han bor hos sin mor.
Anaishi kwa mama yake.
Han rejste til København.
Alisafiri kwenda København.
Ulinganisho:
Kwa kuzungumzia kuhusu mahali kwa kidenish hutumika på, i, under, over kwa kiswahili huongezea -ni kwenye majina. Kama ni watu au kama ni wanyama hutumika maneno ya hali.
6 Forholdsord
6.1 Forholdsord i forbindelse med steder
Forholdsord fortæller, hvor ting eller personer er i forhold til steder. Forholdsord kan også fortælle i hvilken retning ting eller personer bevæger sig.