Nafasi ya kielezi kwenye fungu la maneno 1
Wapi neno kielezi usimama?
Bonyeza na mouse - kuna majibu mengi sahihi.
Neno kielezi inasimama kama kawaida baada kiunganishi cha matendo katika sentensi kuu.
Ndani ya sentensi zenye mpangilio wa maneno yaliogeuka, usimama neno kielezi baada ya kiunganishi cha matendo na kitu kinachonenwa.
Ndani ya sentensi zenye mpangilio wa maneno yaliogeuka, usimama neno kielezi katikati ya kitu kinachonenwa na kiunganishi cha matendo.