8.4 Mpangilio wa maneno
 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 1

Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Kim aliwaona watoto.



 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 2

Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Watoto walimuona Kim.



 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 3

Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Simon alimtania Eva.



 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 4

Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Paka amemuuwa panya.



 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 5

Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Jana watoto walikula kuku.