Je mtu anaweza kusema kwa kidenishi?
Haiwezakani kila mara kutafsiri moja kwa moja kutoka katika lugha yako kwenda kwenye kidenishi. Baadhi tu ya sentensi ni sahihi kwa kidenishi.
Bonyeza na mouse kwenye sentensi, ambazo ni sahihi.
- Sofie arbejder i en børnehave.
Sofie anafanya kazi kwenye chekechea - I morgen begynder sommerferien.
Kesho likizo ya kiangazi inaanza - Sommerferien begynder i morgen.
Likizo ya kiangazi inaanza kesho. - Nu skal vi hjem.
Sasa tunabudi kwenda nyumbani.