Upinduaji wa mpangilio wa maneno 2
Ni lini mtu anatumia mpangilio wa maneno yaliogeuka?
Bonyeza na mouse – kuna majibu mengi sahihi.
Wakati ni swali.
Wakati kionyesho cha muda kinaposimama mwisho katika sentensi.
Wakati kionyesho cha mahali kinaposimama mwanzo katika sentensi.
Wakati kionyesho cha muda kinaposimama mwanzo katika sentensi.
Wakati kionyesho cha mahali kinaposimama mwisho katika sentensi.
Wakati neno badala ya jina inaposimama mwanzo katika sentensi.