Kutumia når na da 1

Ni lini mtu anatumia ’når’ na ‘da’ ?

Andika neno kwa kidenishi


1: Kama sentensi moja iko katika wakati uliopo utumika
2: Kama sentensi moja iko katika wakati uliopita utumika au
3: Kama kitendo kimoja imetokea mara moja
4: Kama kitendo kimoja imetokea mara nyingi utumika