Maneno ya hali kuhusu usemi wa kudumu 2

Kwa kidenishi hutumika mara nyingi maneno ya uhusiano katika usemi thabiti. Je, mtu anafanya pia katika lugha yako?

Bonyeza kwenye neno linaloendana na neno la uhusiano kwenye kidenish.
Bonyeza kwenye eneo la blu pembeni ya sentensi, kama hakuna neno linaloendana na neno la uhusiano kwenye kidenish.

Carl er interesseret i biler
Carl anauvutio
 katika 
magari
               
Emma er nødt til at studere meget
Emma ana ulazima
 wa 
kusoma sana
               
Hun er sikker at han kommer
Ana uhakika
 kuwa 
atakuja
               
Døren kan kun åbnes ved hjælp af en nøgle
Mlango unafunguliwa tu
 kwa 
msaada wa funguo