Maneno ya hali kuhusu wakati 2

Je, kunapatikana maneno ya uhusiano pamoja na muda katika lugha yako?

Bonyeza kwenye neno linaloendana na neno la uhusiano kwenye kidenish.
Bonyeza kwenye eneo la blu pembeni ya sentensi, kama hakuna neno linaloendana na neno la uhusiano kwenye kidenish.

Skolen begynder klokken kvart over otte
Shule inaanza saa
 mbili 
na robo
               
Jeg kommer om en halv time
Nakuja
 baada 
ya nusu saa
               
Jeg har boet i Danmark i to år
Nimeishi Danmark
 kwa 
miaka miwili
               
Min søster kommer i morgen
Dada yangu
 ana
 kuja kesho