Tendo - Wakati uliopita 3

  1. Kuna maneno ya matendo mangapi ya kawaida katika kidenishi?

    Kwenye kidenishi kuna:

    Bonyeza na mouse kwenye jibu sahihi.

    1.   Maneno ya matendo ya kawaida 10
    2.   Maneno ya matendo ya kawaida kama 50
    3.   Maneno ya matendo ya kawaida kama 150
    4.   Maneno ya matendo ya kawaida kama 300