Ni kwa jinsi gani iko kwa kidenishi?
Bonyeza na mouse – kuna majibu mengi sahihi.
- Mtu anaweza kuona kwenye neno la tendo, kuwa ni mwanamume au mwanamke anahusika.
- Mtu anaweza kuona kwenye neno la tendo, kama kunazungumziwa umoja au wingi.
- Mtu hawezi kuona umoja au wingi kwenye tendo.
- Mtu anaweza kuona kwenye neno la tendo, kama ni wakati uliopo au uliopita.