Kamusi ndogo |
Mpangilio wa manenoFungu la maneno huwa na mfuatano wa muungano wa maneno.
Kwenye mfuatano huu tutaangalia muungano wa maneno tofauti. Somo la taarifaKawaida wakati wote kuna somo la taarifa kwenye fungu la maneno. Wakati wa kutafuta masomo tofauti kwenye fungu la maneno, lazima kwanza kutafuta somo la taarifa. Somo la taarifa linakuwa na tendo moja au zaidi (Sura ya 1). Somo la taarifa linakuwa na kitendo na wakati maalum. Kwa kuweka ni mbele ya maneno tofauti unaweza kusikia ni nini somo la taarifa.
Alama ya kuonyesha somo la taarifa ni: o. Somo kamiliKaribia kila wakati kuna somo kamili kwenye fungu la maneno. Somo kamili ni mtu au kitu ambacho hufanya kile kitendo ambacho somo la taarifa linaelezea. Somo la taarifa linaweza kuwa jina au majina (Sura ya 2), badala ya jina (Sura ya 3), sifa (Sura ya 4) au fungu zima la maneno. Unapata somo kamili kwa kuulizia nani, au wapi na somo la taarifa.
Mimi ni somo kamili. Alama ya kuonyesha somo kamili ni: x. Kitu halisiKitu halisi ni jina bandia ambalo linafanya kitu kwenye fungu la maneno. Kitu halisi huweza kuwa maneno mengi (Sura ya 8). Wakati wa kutafuta kitu halisi kwenye fungu la maneno, huulizia nani au wapi na somo la taarifa na somo kamili.
Wakati - na mahali maalum na somo la haliMafungu mengi ya maneno mara nyingi yanakuwa na wakati au mahali maalum.
Danmark ni mahali maalum. Wakati maalum huitwa pia somo la maneno ya hali, kwa sababu huonyesha mwanzo wa maneno ya hali (Sura ya 6). Pamoja na ni somo la maneno ya hali pia. Somo la nyongeza kwa somo kamiliSomo la nyongeza kwa somo kamili huelezea somo kamili kwa ufasaha zaidi.
Baada ya matendo kama være, blive, hedde na kaldes somo ambalo linafuata ni somo la nyongeza kwenye somo kamili. Alama ya kuonyesha somo la nyongeza ni:Ä.Baada ya matendo kama være, blive, hedde na kaldes somo ambalo linafuata ni somo la nyongeza kwenye somo kamili. Alama ya kuonyesha somo la nyongeza ni:Ä. Kitu kwa fumboKitu kwa fumbo ni somo kwenye fungu la maneno ambayo huonyesha ni kwa nani kitu kimefanyikia. Kuna kuwepo kitu kwa fumbo tu kama kuna kitu halisi pia.
Kitu kwa fumbo hupatikana kwa kuuliza nani au nini na somo la taarifa, somo kamili na kitu halisi.
Kitu kwa fumbo mara nyingi kinabadilishwa na somo la maneno ya hali.
Msaada wa tendoMatendo machache yana kazi zaidi ya ile ya kuelezea kitendo chenyewe. Hii huitwa msaada wa tendo. Nayo ni have, være, blive, ville, skulle na få. Msaada wa tendo hufanya pamoja na tendo lingine wakati mwingine.
Ni rahisi zaidi ilivyoelezewa kwenye Sura ya 1 aya ya 1.5, 1.6, 1.7, na 1.8. |