8  Mpangilio wa maneno

8.6 Nafasi ya sifa kwenye fungu la maneno

Sifa hukaa yenyewe kwenye lile neno linalozungumziwa.

Jeg har en gammel hund.   Nina mbwa mzee.        
x o   –>   x o <–        

Wakati sifa inaposimama kama nyongeza kwenye somo kamili (ang. Kamusi ndogo), sifa husimama kama somo lilo huru.

Hunden er gammel.   Mbwa ni mzee.      
x o Ä   x o Ä      

Ulinganisho:
Kwa kiswahili sifa husimama nyuma ya jina.

Maswali ya ufahamu