Kitu kwa fumbo (□) ni kitu kwenye fungu la maneno kwa nani kitu kinafanyika. Kunakuwa na kitu kwa fumbo tu, kama kuna kitu halisi kwenye fungu la maneno. Kitu kwa fumbo husimama baada ya somo kamili (x) na somo la taarifa (o) na mbele ya kitu halisi (∆) kwenye fungu la maneno na mpangilio wa maneno wa moja kwa moja. Kwa kutia mkazo, kitu kwa fumbo husimama kwanza kwenye fungu la maneno na huwa ni mpangilio wa maneno kwa upinduaji.
Mpangilio wa maneno wa moja kwa moja:
Jeg | giver | ham | en | bog. | Ninampa | kitabu. | |
x | o | □ | ∆ | ∆ |
Mpangilio wa maneno kwa upinduaji:
Ham | giver | jeg | en | bog. | Ni | yeye | niampa | kitabu. | |
□ | o | x | ∆ | □ | ∆ |
Ulinganisho:
Wakati kuna kitu kwa fumbo kwenye fungu la maneno kwa kiswahili huongezea silabi katikati ya tendo (ang. 3.4).
Kwa kuonyesha kitu kwa fumbo ni lazima iandikwe kwa mfano:
ni yeye
ni wewe