8 Mpangilio wa maneno
8.3 Mpangilio wa maneno kwenye fungu nusu la maneno
Fungu kuu la maneno ni fungu la maneno ambalo halitegemei fungu lingine la maneno. Fungu kuu la maneno linaweza kusimama lenyewe, lakini linaweza pia kusimama pamoja na fungu lingine kuu la maneno au fungu nusu la maneno.
Fungu nusu la maneno ni fungu la maneno ambalo haliwezi kusimama lenyewe. Fungu hili lina mpangilio wa maneno wa moja kwa moja wakati wote. Ni lazima wakati wote kuwepo na neno la kuunganisha mwanzoni mwa fungu nusu la maneno.
Fungu kuu la maneno:
Peter spiste kage, |
og |
bagefter kørte han hjem. |
h |
|
h |
Peter alikula keki, |
na |
baadaye akaendesha nyumbani. |
h |
|
h |
Fungu kuu na fungu nusu la maneno:
Familien tager ikke på skovtur, |
hvis det regner. |
h |
b |
Familia haitutakwenda kutembea msituni, |
kama mvua inanyesha. |
h |
b |
Kama fungu nusu la maneno linakuja kabla ya fungu kuu la maneno, kunakuwa na upinduaji wa mpangilio wa maneno kwenye fungu kuu la maneno.
Hvis det regner, |
tager familien ikke på skovtur. |
b |
h |
Kama mvua inanyesha, |
familia haitakwenda kutembea msituni. |
b |
h |
Ulinganisho:
Wakati wote kunakuwa na mpangilio wa maneno wa moja kwa moja kwa kiswahili.