Fungu la maneno kwa kawaida ni lazima liwe na angalau masomo mawili, ambayo ni somo kamili (x) na somo la taarifa (o). Masomo haya mawili ni muhimu sana kwenye fungu la maneno, kwa sababu ndiyo yanayofanya fungu lenyewe. Somo kamili ni mtu au kitu ambacho kinatimiza tendo lenyewe kama somo la taarifa linavyoelezea (ang. Kamusi ndogo).
Mjengo wa fungu la maneno kawaida huja somo kamili mbele ya somo la taarifa. Huitwa mpangilio wa maneno wa moja kwa moja.
Manden | sover. | Mwanamume | amelala. | |
x | o | x | o |
Han | spiser. | Anakula | |
x | o | x o |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili mpangilio wa maneno wa moja kwa moja ni sawa na wa kidenish. Kama somo kamili ni badala ya jina la mtu, badala ya jina linakuwa kwenye somo la taarifa.