Mpangilio wa maneno ni mjengo wa fungu la maneno.
Kwa kidenish, mpangilio wa maneno ni wa kudumu. Huwezi kubadilishabadilisha mpango huo kwenye fungu la maneno kama kwenye lugha zingine.
Ulinganisho:
Kwa kiswahili mpangilio wa maneno ni wa kudumu pia.