7  Maneno ya kuunga

7.0 Ubainisho

Maneno ya kuunga ni maneno ambayo huunganisha maneno, somo, na fungu la maneno.

Drengen og pigen leger sammen.

Wavulana na wasichana wanacheza pamoja.

Drengen leger, mens pigen ser på.

Wavulana wanacheza wakati wasichana wanaangalia.

Maneno ya kuunga yanagawanyika kwenye mpango wa maneno ya kuunga kwa kulingana na
mpango wa maneno ya kuunga kwa kutolingana.

Maswali ya ufahamu