6  Maneno ya hali

6.4 Maneno ya hali kuhusu hali ya kumiliki

Kwenye hali ya kumiliki kawaida mwishoni huongezea-s kwenye majina (ang. 2.6 Aina ya majina ya mwenyewe).

Kjolens farve er rød. Rangi ya gauni ni nyekundu.

Maneno ya hali hutumika pia.

Farven kjolen er rød. Rangi ya gauni ni nyekundu.

Ulingaisho:
Kwa kiswahili hutumika majina ya kumiliki (ang. 2.6).