6  Maneno ya hali

6.3 Maneno ya hali kuhusu usemi wa kudumu

Kwa bahati mbaya hakuna sheria ya kudumu kuonyesha ni wakati gani wa kutumia maneno tofauti ya hali kwenye usemi wa kudumu.

Han er under uddannelse.

Yuko masomoni.

Han går i skole.

Anakwenda shuleni.

Han går kursus.

Yuko mafunzoni.

Han er i jobtilbud.

Yuko kazini.

Ulinganisho:
Kwa kiswahili hutumika-ni mwishoni kwenye usemi wa kudumu.

Maswali ya ufahamu