6  Maneno ya hali

6.2 Maneno ya hali kuhusu wakati

Maneno ya hali hutumika wakati wa kuelezea saa kamili au wakati fulani.

Klokken er ti minutter over fem.

Sasa ni saa tano na dakika kumi.

Om lørdagen går jeg altid en tur.

Kila jumamosi siku zote nakwenda kutembea.

Kama inawezekana kuuliza ni muda gani siku zote hutumika i.

Jeg har boet i Danmark i 6 år. Nimeishi Danmark kwa miaka 6.

Kama inawezekana kuuliza ni kwa muda gani siku zote hutumika.

Han kan løbe 1 km 10 minutter. Anaweza kukimbia km 1 kwa dakika 10.

Ulinganisho:
Kuhusu wakati hutumika pia maneno ya hali kwa kiswahili.

Maswali ya ufahamu