Maneno ya hali huelezea ni wapi vitu vilipo au watu walipo kuhusiana na mahali. Maneno ya hali huelezea pia ni upande gani vitu au watu wanakwenda.
Pungen ligger i min taske. |
Pochi iko mfukoni kwangu. |
Avisen ligger på bordet. |
Gazet liko mezani. |
Han bor hos sin mor. |
Anaishi kwa mama yake. |
Han rejste til København. |
Alisafiri kwenda København. |
Ulinganisho:
Kwa kuzungumzia kuhusu mahali kwa kidenish hutumika på, i, under, over kwa kiswahili huongezea -ni kwenye majina. Kama ni watu au kama ni wanyama hutumika maneno ya hali.