5  KIelezi

5.4 Ngazi za kielezi

Kielezi kingine huwa na ngazi ya juu na ngazi ya juu zaidi, ambazo hutumika wakati wa kulinganisha.

Jeg vil helst have kaffe.

Ningependele zaidi kahawa.


Aina za ngazi

Neno halisi

Ngazi ya juu

Ngazi ya juu zaidi

lange

længere

længst

gerne

hellere

helst

ofte

oftere

oftest

Ulinganisho:
Wakati wa kulinganisha vitu tofauti kwa kiswahili hutumika neno zaidi.

Niinampenda mama yangu zaidi kuliko baba yangu.

Maswali ya ufahamu