5  KIelezi

5.3 Kielezi na aina mbili

Kielezi (v) ingine (v) inayo ina ndefu na fupi. Aina ndefu hutumika kuunganisha tendo linaloendelea hapo hapo na sehemu hiyo hiyo.

Yves går ude i haven.

Yves anatembea nje bustanini.

Annette spiser inde stuen.

Annette anakula ndani chumbani.

Katten ligger oppe på bordet.

Paka anakaa juu mezani.

Aina fupi hutumika wakati wa kuzungumzia kuhusu kitu chochote ambacho kinasogea kutoka sehemu kwenda sehemu nyingine.

Yves kommer ud og løber.

Yves anakwenda nje bustanini.

Annette løber ind i stuen.

Annette anakimbilia ndani chimbani.

Katten kravler op i træet.

Paka anapana juu mtini.


Aina mbili za kielezi

Aina ndefu

Aina fupi

ude

ud

inde

ind

oppe

op

Ulinganisho:
Kwa kiswahili hakuna kielezi na aina mbili. Hakuna tofauti kati ya ind - inde, op - oppe. Kwa kiswahili hutumika neno moja tu.

Maswali ya ufahamu