5  KIelezi

5.2 Kielezi bandia

Kielezi bandia ni hali au sifa, hutumika pia kama kielezi.

Kama hali:

Der står indgang døren. Kuna kibao cha kuonyesha kuingia mlangoni.

Kama kielezi:

Jeg ringede . Nilibisha hodi.

Kielezi kingine ni sifa pia. Aina hii ya kielezi huelezea jinsi kitu kinavyotokea. Huitwa pia aina ya kielezi. Kielezi ambacho huelezea namna hii ya kitu kinavyotokea kila mara huishia na -t.

Han smilede venligt.

Alicheka kirafiki.

Han udtrykte sig meget personligt.

Alijielezea sana.

Bilen kørte hurtigt.

Gari liliendeshwa mbio.

Ulinganinsho:
Kwa kiswahili hutumika makala ya maneno mengine kama kielezi pia.

Hodi!

Maswali ya ufahamu