4  Sifa

4.3 Ngazi za sifa zisizo za kawaida

Sifa zingine vokali zake zinabadilika kufuatana n ngazi tofauti.

Ngazi za sifa zisizo za kawaida

Neno halisi

Ngazi ya juu

Ngazi ya juu zaidi

stor

større

størst

ung

yngre

yngst

lang

længere

længst

Sifa zingine zinabadilika kabisa kweny ngazi tofauti.

Ngazi za sifa zisizo za kawaida

Neno halisi

Ngazi ya juu

Ngazi ya juu zaidi

lille

mindre

mindst

gammel

ældre

ældst

god

bedre

bedst

Maswali ya ufahamu