Sifa hufanyika jinsi jina lenyewe linavyoelezea, kwa hiyo hufanyika kutegemeana na neno n-, neno t-, namba na imara.
Sifa haiishii kwenye neno n- aina ya isiyodhahiri, lakini huongezea kama kawaida -t kwenye neno t-, -e kwenye wingi na aina ya hahiri.
Sifa inavyoishia |
|||
Indeterminados |
Dhahiri |
||
neno n- |
neno t- |
Wingi |
Aina zote |
pæn |
pænt |
pæne |
pæne |
stor |
stort |
store |
store |
Kuna sifa chache ambayo haiongezei -t kwenye neno t-.
et fransk produkt | zao la Ufaransa |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili sifa hubadilika kutegemeana na zile aina saba za majina.