Majina ya kuuliza hutumika kwa watu, vitu, mahali, wakati, sababu, na vipi.
Personer |
Watu |
Hvem er du? |
Wewe ni nani? |
Ting |
Vitu |
Hvad er det? |
Hiki ni nini? |
Steder |
Mahali |
Hvor skal vi gå hen? |
Tunatakiwa kwenda wapi? |
Tidspunkter |
Wakati |
Hvornår kommer du hjem? |
Utakuja nyumbani saa ngapi? |
Hvor længe har du ferie? | Una likizo kwa muda gani? |
|
|
Årsager |
Sababu |
Hvorfor kom du til Danmark? |
Kwa nini ulikuja Danmark? |
Måder |
Vipi |
Hvordan kom du til Danmark? |
Ulikujaje Danmark? |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili majina mengi ya kuuliza mengi zaidi yanakuwa mwisho wa fungu la maneno.