Badala ya jina hutumika kwa njia nyingi ama kwa kitu halisi, kitu kwa fumbo au baada ya maneno ya hali.
Lægen behandlede hende. |
Mganga alimpima. |
Han gav os en gave. |
Alitupa zawadi. |
Hun ringer til mig. |
Ainipigia simu. |
Badala ya jina la mtu aina mbili |
||||
Mtu |
Umoja |
Wingi |
||
Mtu 1. |
mimi |
ni |
sisi |
tu |
Mtu 2. |
wewe |
u |
ninyi |
m |
Mtu 3. |
yeye |
a |
wao |
wa |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili hakuna jina kamili la badala ya mtu kama mig, dig, n.k. Badala yake hutumika silabi kwenye tendo lenyewe.