Badala ya jina la kumiliki huelezea kuhusu mtu anayemiliki kitu.
Det er Peters kone. |
Ni mke wa Peter. |
Det er hans kone. |
Ni mke wake |
Badala ya jina la kumiliki |
||
Mtu |
Umoja |
Wingi |
Mtu 1. |
-angu |
-etu |
Mtu 2. |
-ako |
-enu |
Mtu 3. |
-ake |
-ao |
Deres na Jeres ni aina ya majina ya heshima pia. Wakati jeres na deres yanatumiwa kama aina ya majina ya heshima huandikwa kwa herufi kubwa kama I na De.
Kuna aina tatu ya min na din:
neno-n: min na din
neno-t: mit na dit
wingi: mine na dine
en bog | |
Hvor er din bog? | Kitabu chako kiko wapi? |
et hus | |
Dit hus er stort. | Nyumba yako ni kubwa. |
børn | |
Mine børn kommer nu. | Watoto wangu wanakuja sasa. |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili badala ya jina la kumiliki hutegemeana na zile aina saba za majina na badala ya jina la kumiliki hubadilika mwishoni kwenye watu tofauti.