Badala ya jina la mtu hutumika, wakati wa kuzungumzia mtu au kitu. Ni lazima kwenye fungu la maneno kuwe na msingi, kwa sababu tendo halitegemeani na mtu ( ang. 1. Tendo). Kama hakuna aina ya jina au jina, lazima ukumbuke kutumia badala ya jina la mtu.
Jeg kommer for sent. |
Nimechelewa. |
Den er stor. |
Ni kubwa. |
Han lærer dansk. |
Anajifunza kidenish |
Badala ya jina la mtu |
||
Mtu |
Umoja |
Wingi |
Mtu 1. |
mimi |
sisi |
Mtu 2. |
wewe |
ninyi |
Mtu 3. |
yeye |
wao |
De hutumika kama jina la heshima. Inaandikwa kwa herufi kubwa D kwa mtu 2. kwenye umoja na I kwa mtu 2. kwenye wingi pia huandikwa kwa herufi kubwa.
Ulinganinsho:
Kwa kiswahili hakuna haja ya kuwa na badala ya jina la mtu kwenye fungu la maneno, kwa sababu badala ya jina linakuwa kwenye tendo. Hakuna den na det kwa kiswahili na kuna neno moja tu linalotumika kwa hans na hendes.