3  Badala ya jina

3.0 Ubainisho

Badala ya jina ni jina linalosimama badala ya aina ya jina na jina lenyewe.

Børnene leger.

Watoto wanacheza.

De leger.

Wanacheza.

Maria kommer fra Tanzania.

Maria anatoka Tanzania.

Hun kommer fra Tanzania.

Anatoka Tanzania.



Maswali ya ufahamu