Majina yanakuwa pia na aina ya kumiliki. Kumiliki ina maana kwambaunamiliki kitu.
Barnets tøj er snavset. | Nguo ya mtoto ni chafu. |
Kumiliki hufanyika kwa kuongezea -s wenye jina.
Aina ya majina ya kumiliki |
|||
Umoja |
Wingi |
||
Isiyodhahiri |
Dhahiri |
Isiyodhahiri |
Dhahiri |
en piges |
pigens |
pigers |
pigernes |
et værelses |
værelsets |
værelsers |
værelsernes |
Majina ya watu yana aina ya kumiliki pia.
Peters bog | Kitabu cha Peter. |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili kumiliki hufanyika kwa jina huru ambalo linasimama baada ya hicho kinachomilikiwa. Kuna aina tofauti za maneno, ambayo hutumika kama kumiliki kutegemeana na jina lenyewe linavyofanyika kwa wingi na umoja.