2  Majina

2.5 Jambo la pekee

Kuna majina mengi ambayo siyo ya kawaida. Hakuna sheria kwenye hayo majina yasiyo ya kawaida yanavyofanyika. Matatu kati ya hayo ambayo siyo ya kawaida ni:

Majina ambayo yanaitwa sawa kwenye isyodhahiri umoja na isiyodhahiri wingi.

Majina ambayo hubadili vokali kwenye wingi.

Majina ambayo yanapata konsonati mbili wakati vokai ni fupi.

Majina yasiyo ya kawaida

Umoja

Wingi

Isiyodhahiri

Dhahiri

Isiyodhahiri

Dhahiri

en ting

tingen

ting

tingene

et barn

barnet

børn

børnene

en kop

koppen

kopper

kopperne

Maswali ya ufahamu