2  Majina

2.1 Makala ya majina

Kuna aina mbili za makala: en na et. Makala ni neno linalosimama kabla ya jina.

en hund

mbwa

et hus

nyumba

Neno lenye en linaitwa neno n.
Neno lenye et linaitwa neno t.

Kwa bahati mbaya kwamba hakuna sheria ambayo inasema ni wakati gani wa kutumia en, na ni wakati gani wa kutumia et.

Ulinganisho:
Kwa kiswahili hakuna makala haya kwenye majina.

Maswali ya ufahamu