1  Tendo

1.8 Aina ya tendo

Aina ya tendo huachana na tendo kwa kusimama kama msaada wa tendo (ang. kamusi ndogo) na tendo ambalo linafuata lipo kwenye aina ya kitendo. Aina ya tendo huzungumzia pia namna gani kitu kinafanyika.

Haya maneno ni aina ya tendo: kunne (weza), skulle (lazima), ville (nia), burde (paswa), turde (thubutu), måtte (ruhusa), gide (jali).

Jeg skal komme.

Lazima nitakuja.

Bilen kan ikke starte.

Gari haiwezi kuanza.

Du bør lave lektier.

Unapaswa kufanya kazi ya shule.

Aina ya tendo inaweza kufanyika kwenye wakati kama matendo mengine yote.

Jeg har kunnet løbe 10 km. på en time.  

Nilikuwa ninaweza kukimbia km 10 kwa saa moja.

I fremtiden vil vi arbejde meget hårdt for at tjene penge.     

Wakati ujao tuna nia ya kufanya kazi kwa nguvu zaidi ili kupata fedha.

Ulinganisho:
Kwa kiswahili aina hii ya tendo ni sawa na kidenish. Mfuatano wa tendo uko pia kwenye aina ya kitendo, lakini lazima uwe na (ku­­‑) pamoja.

Maswali ya ufahamu