Kabla ya wakati uliopo huelezea kitu ambacho kimetokea na hakiendelei, lakini kina maana sasa.
Pigen har spist. |
Msichana amekula. |
Jeg har boet i Danmark i 6 år. |
Nimeishi Danmark kwa miaka 6. |
Kabla ya wakati uliopo huunganisha tendo kwa har au er na tendo halisi linalofuatia huishia na -te au -t. Tendo halisi ambalo huishia hivyo huitwa aina fupi ya sifa. Aina hii hutumika karibia sawa na nyongeza na hutumika pia kwenye aina ya -w- (ang. 1.7 Aina ya
-w-).
Pigen har spist. |
Msichana amekuala. |
Det er begyndt at regne. |
Mvua imeanza kunyesha. |
Jeg har boet 5 år i Danmark. |
Nimeishi miaka 5 Danmark. |
Vi er gået. |
Tumekwenda. |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili kabla ya wakati uliopo huongezea me- mwanzoni mwa tendo halisi. Zaidi ya me- huanza na: ni, u, n.k. kutegemeana na watu tofauti.
Nimekula.
Umekula.