Aina ya amri ni aina fupi zaidi kuliko tendo. Aina ya amri ni sawa na aina ya kitendo bila -e. Aina hii pia huitwa tendo halisi. Aina hii ni msingi kwa nyakati nyingine kwa sababu unaweka mwisho kwenye tendo halisi.
Aina ya amri hutumika kwa njia mbili. Ama kwa maombi, au kwa amri.
Kom og spis hos os i aften. |
Njoo kula kwetu jioni tafadhali. |
Spis din mad! |
Kula chakula chao! |
Aina ya amri |
|
Aina ya tendo |
Aina ya amri |
at sove |
sov |
at spise |
spis |
at lave |
lav |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili aina ya amri ni sawa na aina ya kitendo kwa kuondoa ku-. Kwa kuonyesha heshima hutumika “tafadhali” mwanzoni au mwishoni mwa fungu la maneno.