Upinduaji wa mpangilio wa maneno 8
Je mtu anaweza kusema kwa kidenishi?
Haiwezakani kila mara kutafsiri moja kwa moja kutoka katika lugha yako kwenda kwenye kidenishi. Baadhi tu ya sentensi ni sahihi kwa kidenishi.
Bonyeza na mouse kwenye sentensi, ambazo ni sahihi.
- Skal vi hjem nu?
Tunakwenda nyumbani sasa? - Hvornår skal vi hjem?
Tunakwenda nyumbani wakati gani? - Begynder sommerferien i morgen?
Je, inaanza likizo ya kiangazi keshe?