Mpangilio wa maneno - Ubainisho 1
Ni jinsi gani mpangilio wa maneno upo?
Bomyeza na mouse – kuna majibu mengi sahihi.
- Mpangilio wa maneno ni imara kwa kidenishi.
- Maunganishi hayawezi kuamishwa pande zote katika sentensi, bila kubadilisha maana ya sentensi.
- Kiunganishi cha matendo inasimama kawaida kama kiunganishi cha pili katika sentensi kuu.
- Viunganishi inabudi daima kusimama katika sehemu sawa katika sentensi zote.
- Viunganishi zinaweza bila kutegemea nyingine kuhamishwa pande zote katika sentensi.