Tendo - Ubainisho 3



  1. Ni kwa jinsi gani iko kwa kidenishi?

    Bonyeza na mouse – kuna majibu mengi sahihi.

    1.   Mtu anaweza kuona kwenye neno la tendo, kuwa ni mwanamume au mwanamke anahusika.
    2.   Mtu anaweza kuona kwenye neno la tendo, kama kunazungumziwa umoja au wingi.
    3.   Mtu hawezi kuona umoja au wingi kwenye tendo.
    4.   Mtu anaweza kuona kwenye neno la tendo, kama ni wakati uliopo au uliopita.